Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Published 2021-09-16 23:56:03
MICHEZO YA BANDARI IMEANZA KUTIMUA VUMBI SIKU YA TAREHE 13/09/2021 NA INATARAJIA KUKAMILIKA SIKU YA TAREHE 10. KATIKA MICHEZO HIYO TICTS NAYO IMEPELEKA TIMU YA FOOTBAL (TICTS DREAM TEAM) NA HADI SASA TIMU YETU YA TICTS IMESHACHEZA MECHI MBILI NA LEO ITACHEZA MECHI YA TATU
MECHI YA KWANZA ILIKUWA TICTS NA DAR PORT NA MATOKEO YALIKUWA 0-0
MECHI YA PILI ILIKUWA KATI YA TICTS NA BANDARI MTWARA NA MATOKEO YALIKUA TICTS 4 - BANDARI MTWARA 0 (TICTS ILISHINDA NNE BILA)
MECHI YA TATU NI LEO , KATI YA TICTS NA BANDARI MAZIWA MAKUU.
TUNAITAKIA KILA LA HERI TIMU YETU YA TICTS, ITUWAKILISHE VYEMA NA KURUDI NA USHINDI .
MUNGU IBARIKI TICTS.
MUNGU IBARIKI BANDARI YETU
Published 2025-05-06 14:14:34
Published 2025-05-06 14:05:11
Published 2025-05-06 14:00:51
Published 2025-05-05 05:27:53
Published 2025-05-05 05:24:39