logo logo

Secretary General, DOWUTA
P.O.Box 7262
Pemba street near National Stadium Temeke
Dar es Salaam Tanzania
info@dowuta.or.tz



TANGAZO- HOSPITALI ZILIZOIDHINISHWA KWA MATIBABU

Published 2021-10-30 07:14:29

UONGOZI WA TICTS UNAPENDA KUWATAARIFU WAFANYAKAZI WOTE KUWA KADI MPYA ZA MATIBABU ZILIZOTOLEWA ZITATUMIKA KWA HOSPITALI ZIFUATAZO TU;

 

  1. HOSPITALI YA REGENCY
  2. HOSPITALI YA KITONKA
  3. HOSPITALI YA DAR GROUP
  4. HOSPITALI YA TMJ TAWI LA MIKOCHENI NA KEKO
  5. HOSPITALI YA BOCHI
  6. HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI NA VITENGO VYAKE (MOI NA JKCI)
  7. HOSPITALI YA RABININSIA – TEGETA
  8. HOSPITALI YA EPIPHANY – KIJICHI MBAGALA KUU NJIA YA NG’OMBE
  9. HOSPITALI YA QUALITAS – KWA CHAGAN – KIGAMBONI
  10. UPANGA EYE CENTER - UPANGA KWENYE KONA YA KUINGIA MUHIMBILI

 

UPATAPO TATIZO KATIKA HOSPITALI HIZO ZILIZOORODHESHWA WASILIANA NA NAMBA ZA SIMU HAPO CHINI KWA MSAADA ZAIDI

0767-635-456 / 0684-400-774 / 0756-147-407
UTAWALA
29/10/2021

Latest news
WAJUMBE WA BARAZA DOGO…

Published 2025-05-06 14:14:34

banner
Baadhi ya wajumbe wa…

Published 2025-05-06 14:05:11

banner
Mwenyekiti na Katibu (DOWUTA)…

Published 2025-05-06 14:00:51

banner
SHERE ZA MEI MOSI…

Published 2025-05-05 05:27:53

banner
SHEREHE ZA MEI MOSI…

Published 2025-05-05 05:24:39

banner