Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
06-03-2026
Chama cha Wafanyakazi wa Shughuli za Meli na Bandari Tanzania (DOWUTA) kinaundwa na wafanyakazi wa Sekta ya Meli na Bandari Nchini Tanzania. Kuundwa kwa Chama hiki kunashabihiana na mabadiliko ya Kisiasa Kiuchumi na Kijamii. Mabadiliko ya Sera za Uwekezaji, Utandawazi, Uhuru wa kuunda na kujiunga na vyama vya wafanyakazi na mabadiliko ya mazingira ya kazi, kwa pamoja yamesababisha wafanyakazi na vyama vya wafanyakazi kubuni na kutumia mbinu mpya katika harakati za kudai, kulinda na kutetea haki na maslahi yao nchini Tanzania. Kwa kuwa wafanyakazi Wanatambua kwamba mapambano ya kudai, kulinda na kutetea haki na maslahi yao yanahitaji chombo madhubuti cha uongozi kinachounganisha fikra na vitendo vyao, kwa pamoja wameamua kuunda chombo madhubuti (DOWUTA) kwa madhumuni ya kusimamia maslahi ya wafanyakazi wa shughuli za Meli na Bandari Tanzania.
MOJA KATI YA VIVUTIO KATIKA HIFADHI YA WANYAMA YA NGORONGORO
ZIARA YA WAFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2025 KATIKA HIFADHI YA…
MOJA KATI YA MAENEO YA MRADI WA BANDARI YA BAMBA…
ZIARA YA VIONGOZI WA DOWUTA TAWI LA MAKAO MAKUU KATIKA…