Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Published 2025-07-04 03:20:06
Wanamichezo kutoka Bandari ya Dar es salaam,Makao Makuu,Mtwara,TEAGTL na DP-WORLD wamefanya ziara ya ujirani mwema ya kimichezo yenye lengo hususa la kuwaaga viongozi wake wanaotarajia kustaafu.
Viongozi hao ambao ni Hassan Ahmed Mohamedy pamoja na Kennedy Mwaisabula "Mzazi"
Sambamba na ziara hiyo ambayo ilikua na baraka kutoka kwa Mkuu wa Bandari ya Tanga,kulikuwa na wasaha mzuri sana wa kupata neno la shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa DOWUTA TAIFA komredi Mharami Manyara.
Published 2025-08-18 08:21:10
Published 2025-08-18 08:08:53
Published 2025-08-18 07:49:50
Published 2025-08-18 07:11:00
Published 2025-08-01 15:29:36