Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Published 2025-08-01 14:23:42
BAGAMOYO
KATIBU MKUU DOWUTA NDUGU JONATHAN MSOMA AKIAMBATANA NA NAIBU KATIBU MKUU KINUNDA WALIFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA TAWI LA TEAGTL MJINI BAGAMOYO KUJADILI HAKI ZA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA TEAGTL.
HOJA ZILIZO JADILIWA NI PAMOJA NA OMBI LA MWAJIRI KUTAKA KUBADILI MFUMO WA MATIBABU KUWA KATIKA BIMA , SUALA LA MUUNDO WA MSHAHARA KWA WAFANYAKAZI NA NAMNA YA KUTHIBITI AJIRA ZA WAGENI
SAMBAMBA NA HILO SUALA LA NYUMBA YA MSTAAFU NA NAULI WAKATI WA LIKIZO NAVYO VILIJADILIWA.
Published 2025-08-18 08:21:10
Published 2025-08-18 08:08:53
Published 2025-08-18 07:49:50
Published 2025-08-18 07:11:00
Published 2025-08-01 15:29:36