logo logo

Secretary General, DOWUTA
P.O.Box 7262
Pemba street near National Stadium Temeke
Dar es Salaam Tanzania
info@dowuta.or.tz



MENEJIMENTI NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI DOWUTA WASHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA UTENDAJI WENYE MAFANIKIO YA UZALISHAJI

Published 2025-08-01 15:15:59

Mkurugenzi wa TEAGTL ndugu Sharzad aliwaongoza  menejimenti na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi DOWUTA, kusherehekea mwaka mmoja ambao umekuwa na mafanikio sana ya uzalishaji kiwandani.

Sambamba na hilo aliwaomba DOWUTA kuendelea kuhamasisha wafanyakazi wafanye kazi kwa Bidii na wajiandae kuyapokea mazuri mengi kwa mwaka 2025/2026.

Akizungumza katika Hafla hiyo Katibu wa Tawi Eng. Paschal Lugaga alielezea kwa uchache jinsi Utawala ulivyojali maisha ya wafanyakazi ndani ya Mwaka huo mmoja ikiwemo kumsaidia Mwenzao aliyepatwa na janga la nyumba yake kuteketea kwa moto.

Latest news
MOJA KATI YA VIVUTIO…

Published 2025-08-18 08:21:10

banner
ZIARA YA WAFANYAKAZI BORA…

Published 2025-08-18 08:08:53

banner
MOJA KATI YA MAENEO…

Published 2025-08-18 07:49:50

banner
ZIARA YA VIONGOZI WA…

Published 2025-08-18 07:11:00

banner
MENEJIMENTI NA CHAMA CHA…

Published 2025-08-01 15:29:36

banner