logo logo

Secretary General, DOWUTA
P.O.Box 7262
Pemba street near National Stadium Temeke
Dar es Salaam Tanzania
info@dowuta.or.tz



MKUTANO MKUU WA MWAKA - 10/01/2022

Published 2022-01-09 09:01:55

CHAMA KINAWATANGAZIA KUWA , MKUTANO MKUU WA MWAKA UTAFANYIKA TAREHE 10/01/2022 KUANZIA SAA NANE KAMILI MCHANA HADI SAA KUMI NA MOJA KAMILI JIONI.

MGENI RASMI WA MKUTANO HUO NI MKURUGENZI MTENDAJI WA TICTS.

WAGENI WAALIKWA NI PAMOJA NA 

1. MWENYEKITI WA DOWUTA TAIFA 

2. KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU DOWUTA TAIFA

3. MWENYEKIT NA KATIBU WA DOWUTA DAR PORT TPA

4. MWENYEKITI NA KATIBU WA DOWUTA TPA HQ

5. UTT AMI

6. NA WENGINEO

WANACHAMA WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA BILA KUKOSA ISIPOKUWA WALE WATAKAOKUWA ZAMU KAZINI WATATAKIWA KUENDELEA NA KAZI.

IKUMBUKWE KUWA MKUTANO HUU UTAFANYIKA BILA KUSIMAMA KAZI KUEPUKA  KUATHIRI UZALISHAJI KIWANDANI.

KARIBUNI SANA.

Latest news
WAJUMBE WA BARAZA DOGO…

Published 2025-05-06 14:14:34

banner
Baadhi ya wajumbe wa…

Published 2025-05-06 14:05:11

banner
Mwenyekiti na Katibu (DOWUTA)…

Published 2025-05-06 14:00:51

banner
SHERE ZA MEI MOSI…

Published 2025-05-05 05:27:53

banner
SHEREHE ZA MEI MOSI…

Published 2025-05-05 05:24:39

banner