Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Published 2025-03-26 14:38:46
Chama cha Wafanyakazi wa Shughuli za meli na Bandari Tanzania (DOWUTA)Tawi la TASHICO Mwanza kilifanya mkutano wake wa mwaka kwa mwaka 2024 tarehe 15/02/2024 katika ukumbi wa TANROAD Mwanza.
Mgeni rasmi alikua Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASHICO, CPA Sebukoto.
Karibu tushiriki matukio yaliyojiri katika picha
Eng. Comred Esther Sikazwe
Kny Katibu wa Tawi- TASHICO MWANZA
Published 2025-08-18 08:21:10
Published 2025-08-18 08:08:53
Published 2025-08-18 07:49:50
Published 2025-08-18 07:11:00
Published 2025-08-01 15:29:36