Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Wajumbe wakisikiliza ufafanuzi wa hoja zilizowasilishwa.
STAFF SIDE DOWUTA
WAJUMBE WA BARAZA DOGO LA MAJADILIANO(JIC) WAKIWA KATIKA STAFF SIDE(DOWUTA)
kwa kipekee kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati kwa serikali yangu ya jamuhuri ya muungano wa tanzani katika maadhimisho ya mei mosi kimkoa yalio fanyika apa mkoani kigoma wilaya ya kakonko ,na kushiriki wawakilishi wa chama cha wafanyakazi pamoja na ofisi ya TASHICO- TAWI LA KIGOMA.
MFANYAKAZI BORA TAWI LA TASHICO .