Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Wanyama aina ya Pundamilia wakiwa katika picha ya pamoja,pundamilia ni moja kati ya vivutio vinavyopatikana katika hifadhi hiyo ya Ngorongoro.
Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi (DOWUTA) kutoka Matawi ya Makao Makuu,DSM-Port,Mwanza,Kigoma,Mtwara na Tanga wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Mh.Pius Kabakama.
Mradi huo ambao unatarajiwa kuwa chachu ya maendeleo katika Mikoa ya kusini na nyanda za juu kuzini pamoja na nchi jirani kama Malawi
Viongozi wa DOWUTA Tawi la Makao Makuu wakiwa katika ziara ya kikazi katika mradi unaoendelea wa ujenzi wa Bandari ya Bamba Bay
Muendelezo