logo logo

Secretary General, DOWUTA
P.O.Box 7262
Pemba street near National Stadium Temeke
Dar es Salaam Tanzania
info@dowuta.or.tz

News & Events

Dock Workers Union of Tanzania

MOJA KATI YA VIVUTIO KATIKA HIFADHI YA WANYAMA YA NGORONGORO

Wanyama aina ya Pundamilia wakiwa katika picha ya pamoja,pundamilia ni moja kati ya vivutio vinavyopatikana katika hifadhi hiyo ya Ngorongoro.

Dock Workers Union of Tanzania

ZIARA YA WAFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2025 KATIKA HIFADHI YA WANYAMA NGORONGORO

Viongozi  wa Chama cha Wafanyakazi (DOWUTA)  kutoka Matawi ya Makao Makuu,DSM-Port,Mwanza,Kigoma,Mtwara na Tanga wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Mh.Pius Kabakama.

Dock Workers Union of Tanzania

MOJA KATI YA MAENEO YA MRADI WA BANDARI YA BAMBA BAY

Mradi huo ambao unatarajiwa kuwa chachu ya  maendeleo katika Mikoa ya kusini na nyanda za juu kuzini pamoja na nchi jirani kama Malawi

Dock Workers Union of Tanzania

ZIARA YA VIONGOZI WA DOWUTA TAWI LA MAKAO MAKUU KATIKA BANDARI YA BAMBA BAY

Viongozi  wa  DOWUTA Tawi  la  Makao Makuu wakiwa katika  ziara  ya  kikazi  katika mradi unaoendelea wa ujenzi wa   Bandari ya Bamba Bay