Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Published 2022-01-09 09:49:04
CHAMA KIMEWASILIANA NA OFISI YA HR NA KUKUBALIANA KUWA STAFF BUS ZOTE ZINATAKIWA KUWAHI KUTOKA MAJUMBANI (ZITAWAHI KWA WASTANI WA KM DK 40 MAPEMA TOFAUTI NA MUDA WA KAWAIDA HASA KWA RUTI ZA MBALI) PIA STAFF BUS ZOTE ZINATAKIWA KUFIKA TERMINAL SAA NANE KASOROBO MCHANA ILI KUWEZESHA WATU WANAOTOKEA MAJUMBANI KUHUDHURIA MKUTANO MKUU.
IKUMBUKWE KUWA MKUTANO UTAANZA SAA 8 KAMILI MCHANA .
TUJITAHIDI KUWAHI
Published 2025-03-17 10:48:06
Published 2025-03-17 10:22:19
Published 2022-01-10 02:55:49
Published 2022-01-09 09:26:41