logo logo

Secretary General, DOWUTA
P.O.Box 7262
Pemba street near National Stadium Temeke
Dar es Salaam Tanzania
info@dowuta.or.tz



KATIBU MKUU DOWUTA ALIPOKUTANA BAGAMOYO NA TAWI LA TEAGTL KUJADILI HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.

Published 2025-08-01 14:23:42

BAGAMOYO

KATIBU MKUU DOWUTA NDUGU JONATHAN MSOMA AKIAMBATANA NA NAIBU KATIBU MKUU KINUNDA WALIFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA TAWI LA TEAGTL MJINI BAGAMOYO KUJADILI HAKI ZA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA TEAGTL.

HOJA ZILIZO JADILIWA NI PAMOJA NA OMBI LA MWAJIRI KUTAKA KUBADILI MFUMO WA MATIBABU KUWA KATIKA BIMA , SUALA LA MUUNDO WA MSHAHARA KWA WAFANYAKAZI NA NAMNA YA KUTHIBITI AJIRA ZA WAGENI

SAMBAMBA NA HILO SUALA LA NYUMBA YA MSTAAFU NA NAULI WAKATI WA LIKIZO NAVYO VILIJADILIWA.

Latest news
MENEJIMENTI NA CHAMA CHA…

Published 2025-08-01 15:29:36

banner
MENEJIMENTI NA CHAMA CHA…

Published 2025-08-01 15:15:59

banner
KATIBU MKUU DOWUTA ALIPOKUTANA…

Published 2025-08-01 14:43:42

banner
KATIBU MKUU DOWUTA ALIPOKUTANA…

Published 2025-08-01 14:23:42

banner
TEAGTL- SIKU YA WANAWAKE…

Published 2025-03-17 10:48:06

banner