Secretary General, DOWUTA P.O.Box 7262 Pemba street near National Stadium Temeke Dar es Salaam Tanzania info@dowuta.or.tz
Published 2025-08-01 15:15:59
Mkurugenzi wa TEAGTL ndugu Sharzad aliwaongoza menejimenti na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi DOWUTA, kusherehekea mwaka mmoja ambao umekuwa na mafanikio sana ya uzalishaji kiwandani.
Sambamba na hilo aliwaomba DOWUTA kuendelea kuhamasisha wafanyakazi wafanye kazi kwa Bidii na wajiandae kuyapokea mazuri mengi kwa mwaka 2025/2026.
Akizungumza katika Hafla hiyo Katibu wa Tawi Eng. Paschal Lugaga alielezea kwa uchache jinsi Utawala ulivyojali maisha ya wafanyakazi ndani ya Mwaka huo mmoja ikiwemo kumsaidia Mwenzao aliyepatwa na janga la nyumba yake kuteketea kwa moto.
Published 2025-08-01 15:29:36
Published 2025-08-01 14:43:42
Published 2025-08-01 14:23:42
Published 2025-03-17 10:48:06